TANGAZO


Wednesday, October 17, 2012

Mkutano wa Maktaba kwa maendeleo wamalizika jijini Dar es Salaam leo

Mwezeshaji kutoka nchini Finland, Ritva Hyttinen akitoa mada pamoja na kuwaonyesha washiriki aina ya kazi zake kupitia teknolojia ya vielelezo wakati wa mkutano wa siku mbili kuhusu maktaba kwa maendeleo uliofunguliwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo nchini Selestine Gisimba (hayupo pichani). Mkutano huo umewashirikisha washiriki 80 kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Finland, Germany, Italy na United Kingdom. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- Maelezo)

Mwezeshaji kutoka nchini Finland Ritva Hyttinen akitoa mada pamoja na kuwaonyesha washiriki aina ya kazi zake kupitia teknolojia ya vielelezo wakati wa mkutano wa siku mbili kuhusu maktaba kwa maendeleo uliofunguliwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo nchini Selestine Gisimba (hayupo pichani) Mkutano huo umewashirikisha washiriki 80 kutoka nchi za Tanzania, Kenya, Finland, Germany, Italy na United Kingdom.
 
Mshiriki wa mkutano wa Mkutsno wa Umuhimu wa maktaba kwa maendeleo Sarah Makoi kutoka COSTECH akichangia katika mktutano wa maktaba kwa maendeleo jijini Dar es salaam.Mkutano huo wa siku mbili utamalizika leo jioni.

No comments:

Post a Comment