TANGAZO


Wednesday, October 17, 2012

Waziri Mkuu Pinda azungumza na Watanzania nchini Uingereza

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu, wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini Uingereza jijini London jana, Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo jijini London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012.

No comments:

Post a Comment