TANGAZO


Wednesday, October 17, 2012

Polisi yawakamata wafuasi wa Sheikh Ponda, wakiandamana kutaka kumtoa sheikh huyo Kituo cha Polisi Kati Dar es Salaam leo

Mmoja wa wandamanaji akipelekwa katika kituo Kikuu cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam leo mchana mara baada ya kukamatwa akiandamana.
 
Mmoja wa wafuasi wa kikundi cha waislamu wanaomuunga mkono Katibu wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, akidhibitiwa na polisi mara baada ya kukamatwa leo katika Kituo Kikuu cha Polisi Kati, wakijaribu kuandamana ili kushinikiza kiongozi wao Katibu wa Taasisi hiyo, Shekh Ponda Issa Ponda kuachiwa na jeshi la polisi mara baada ya kukamatwa jijini Dar es Salaam kwa kudaiwa kusababisha vurugu jijini Dar es Salaam.
 
Polisi wakiwa tayari kwa kudhibiti maandamano hayo katika Kituo Kikuu cha Polisi Kati Dar es Salaam kati leo. (Picha zote na Haki Ngowi)

No comments:

Post a Comment