Waombolezaji wakiwa wamekusanyika kuusubiri mwili nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo, aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi jijini Mwanza juzi.
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Magereza (ACP), Sabas Matolo, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, nyumbani kwa marehemu, Ukonga Dar es Salaam leo. Kamanda Barlow alifariki kwa kupigwa risasi shingoni na majambazi jijini Mwanza juzi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi (DCP), Isaya Muguhu, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, nyumbani kwa marehemu, Ukonga Dar es Salaam leo. Kamanda Barlow alifariki kwa kupigwa risasi shingoni na majambazi jijini Mwanza juzi.
Mkuu wa mstaafu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Omar Mahita (wa pili kulia), akiongozwa kupelekwa katika sehemu yake, wakati akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa jeshi hilo mkoani Mwanza, Liberatus Barlow, Ukoga Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Kilimanjaro kesho kwa mazishi.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiwasili na jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow, nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa na kisha kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kesho.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow, kulileta nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa na kisha kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kesho.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili huo kwa ajili ya kuuleta nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam kuuaga na kisha kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi kesho.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili huo kuuingiza nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuuagwa na kisha kuusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kesho.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiwa wamelibeba jeneza lenye mwili huo kwa ajili ya kuuleta nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam leo, kuuagwa na kisha kuusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kesho.
Baadhi ya wananchi wakiwa wamejiweka tayari nyumbani kwa aliyekuwa Kamand wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow kwa ajili ya kuuaga mwili huo.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakiingia na jenenza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza nyumbani kwake Ukonga, Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kuagwa na kisha kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kesho
.
Wananchi wakiangalia jeneza hilo wakati lilipokuwa likiingizwa nyumbani kwa marehemu kwake aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow kwa ajili ya kuagwa.

Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakilishusha jenenza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, wakati likipelekwa nyumbani kwake, Ukonga Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa.
Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakilishusha jenenza lenye mwili huo, wakati lilipowasili nyumbani kwake, Ukonga jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa.
Akina mama wanafamilia ya marehemu aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, wakilia kwa huzuni wakati mwili wa marehemu huyo, ulipokukuwa ukiingizwa nyumbani kwake, Ukonga jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuagwa na familia yake.
Baadhi ya wananchi na waombolezaji waliofika kwenye msiba huo, wakimwaga machozi kumlilia marehemu huyo.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wa Kutuliza Ghasia wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kulibeba jenza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, kwa ajili ya kulipeleka Kanisani kuombewa na kisha kuagwa na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao, mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.
Wafiwa wakiomboleza kifo cha ndugu yao, aliyekuwa Kamanda wa Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlowa, nyumbani kwake Ukonga jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni mke wa marehemu, Mary Stella Barlow.
Maofisa wa Jeshi la Polisi na jeshi la Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kulibeba jenza lenye mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Leberatus Barlow, kwa ajili ya kulipeleka Kanisani kuombewa na kisha kuagwa na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao, mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.
Padri Steven Nyilawila, akisaini kitabu cha maombolezo cha kifo hicho, nyumbani kwa marehemu, Ukonga jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema (kushoto), akiteta jambo na aliyekuwa Mkuu wa jeshi hilo, IGP mstaafu Omar Mahita wakati walipofika nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo.
Baadhi ya watoto wa marehemu aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow, wakiwa kwenye maombolezo hayo leo.
Baadhi ya ndugu wa marhemu wakiwa mbele ya jenenza lenye mwili wa ndugu yao huyo, wakati wa kuuga mwili huo nyumbani kwake, Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meki Sadiq, akiwasili nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meki Sadiq, akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Liberatus Barlow.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiwasili nyumbani kwa marehemu Liberatus Barlow, Ukonga jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wake.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezao nyumbani kwa marehemu Liberatus Barlow, Ukonga jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuuaga mwili wake.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa wakati alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuwapa pole na kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kuelekea nyujambani kwao jijini mkoani Kilimanjaro.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akimpatia ubani mke wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo, wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu kuwapa pole wafiwa.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji watoto wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo, wakati wa kuugamwili huo.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa pole na kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kuelekea nyujmbani kwao jijini Arusha.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal (kushoto), akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Afande Saidi Mwema, alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwapa pole na kuuaga mwili wake.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa wakati akiondoka nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuwapa pole na kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kuelekea nyujmbani kwao jijini Arusha.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa na wananchi mbali alipofika nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuwapa pole na kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kuelekea nyujmbani kwao jijini Arusha.
Makamu wa Rais, Mohamed Gharib Bilal, akiwafariji wafiwa pamoja na wananchi waliofika nyumbani kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Leberatus Barlow, Ukonga Dar es Salaam leo kwa ajili ya kutoa pole na kuuaga mwili wake kabla ya kusafirishwa kuelekea nyujmbani kwao jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment