TANGAZO


Sunday, September 16, 2012

Ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Misungwi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji  cha Mitale, wilayani  Misungwi ,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza, jana Septemba 15, 2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, MhandisI Evarest Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga.
Mmoja wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, uwanja wa mpira wa Misungwi, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mwanza jana, Septemba 15, 2012. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment