Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk. Patrick Makungu akitoa hotuba yake katika sherehe za miaka 11 ya Kituo cha Television cha ATN, zilizofanyika jana. Sherehe hizo zilienda sambamba na uzinduzi wa kipindi cha Kwa nini ? Pamoja na uzinduzi wa Mobile TV ambayo huduma hiyo, mtu anaweza kuipata kwa kutumia simu yake ya mkononi kwa (www.ATNPLAY.com), kuangalia vipindi mbalimbali vinavyorushwa na television ya Agape life Church. Uzinduzi huo, ulifanyika Kanisa la Agape jijini Dar es Salaam jana.
Mmliki wa kituo cha Televishen cha Agape, Vernon Fernandes (kushoto) pamoja na mkewe, wakikata keki wakati wa kusherekea miaka 11 ya ATN jana. Wa nne kulia ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (wa kwanza kulia mmliki wa kituo cha WAPO Redio, Silvestre Gamanywa.
No comments:
Post a Comment