TANGAZO


Monday, September 17, 2012

Yanga wajifua kuikabili Mtibwa Sugar

 Wachezaji wa Yanga wakiwa na kocha wao, Tom Saintfiet, wakifurahia alama ya askrim waliyoitengeneza kwa kuweka mpira kwenye koni ya kufanyia mazoezi, walipokuwa katika mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola, Mambibo jijini Dar es Salaam leo.
 Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi yao ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola jijini Dar es Salaam leo.
 Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi yao hayo leo, Viwanja vya Shule ya Sekondari ya Loyola, Mabibo jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment