TANGAZO


Monday, September 17, 2012

Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chisano, azuru nchini Tanzania

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano na kufanya naye mazungumzo leo.


 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na mgeni wake, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano, alipozuru nchini na kumtembelea Ikulu, jijini Dar es Salaam leo na kufanya naye mazungumzo.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika mazungumzo na geni wake, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano (wapili kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini mwa Afrika SADC, Dk. Thomas Salomao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuh. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment