TANGAZO


Wednesday, September 19, 2012

Tigo yaanzisha mpango wa Reach for Change


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akihutubia wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Tigo Reach for Change”, yenye lengo la kuwekeza kwa wajasiriamali watakaotoa mawazo thabiti yatakayosaidia kuboresha maisha ya watoto.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba akiwapongeza Tigo kwa kuja na mpango huo, ambao utasaidia katika kuboresha familia hususan kwenye lengo la malezi bora kwa watoto.

 Meneja Mkuu wa Kampuni ya Tigo, Kitengo cha Huduma za Jamii, Esther Palsgraaf akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya “Tigo Reach for Change”, jijini leo.

Wadau na waandishi wa habari, wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mkurugenzi huyo wa Tigo Tanzania.

No comments:

Post a Comment