TANGAZO


Wednesday, September 19, 2012

Rais Kikwete azindua ujenzi wa barabara ya mabasi mwendo kasi, Kimara-Kivukoni


Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier, wakizindua ujenzi wa barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) na ujenzi wa barabara ya Mororogoro, kutoka Kimara - Kivukoni, Kariakoo, meneo ya Jangwani, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk, Francis Dande)

Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier, wakizindua ujenzi wa barabara ya Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) na ujenzi wa barabara ya Mororogoro, kutoka Kimara - Kivukoni, Kariakoo, meneo ya Jangwani, Dar es Salaam leo.

Rais Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi, Philippe Dongier, wakifurahia uzinduzi huo.

 Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam, kutoka kwa mtaalamu wa DART.

 Rais Jakaya Kikwete, akiendesha moja ya vifaa ujenzi wa barabara vya Kampuni ya Strabag, inayojenga mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile.

Wasanii wa kikundi cha ngoma cha Waasisi kutoka Buguruni kikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa mradi wa mabasi yaenedayo kasi katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment