TANGAZO


Tuesday, September 18, 2012

Maandamano na mkutano wa kuchangia CUF yafana, Sh. mil. 126 zapatikana

 
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Lipumba (wa pili kulia), akiwa pamoja na baadhi ya viongozi na wanachama na mashabiki wa Chama hicho, wakijianda kwa maandamano ya kukichangia chama hicho wakati wa uzinduzi wa michango ya kukiwezesha chama, viwanja vya Jangwani jijini juzi.


Baadhi ya waandamanaji, wakiwa wameshikilia bango lennye picha na maeleo yenye ujumbe mahususi kwa Watanzania na wananchi kwa jumla.

Wanachama wa Chama hicho, wa tawi la Profesa Lipumba, wakilinyanyua juu bango lenye picha ya mwenyekiti wao, Profesa Ibrahim Lipumba, wakati wa maandamano ya kukichangia chama hicho jijini Dar es Salaam juzi.
mashabiki na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwa kwenye mkutano wa chama hicho, viwanja vya Jangwani kwa ajili ya kuchangia chama kiweze kuendesha shughuli zake.

Mmoja wa wasanii waliokuwa wakitumbuiza kwenye mkutano huo, akiimba wakati akihamasisha wanachama na wananchi kukichangia Chama hicho kwa ajili ya kuweza kujiendesha kisisiasa.

Wasanii wa kikundi cha Lamba lamba, wakiimba kwenye mkutano huo, Viwanja vya Jangwani juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, akizindua uchangiaji Chama kwenye mkutano huo, uliofanyika viwanja vya Jangwani juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Ibrahim Lipumba, akizindua uchangiaji wa Chama kwenye mkutano huo, kwa kuweka fedha kwenye kapu la kukusanyia pesa kwenye kapu hilo, wakati wa mkutano, uliofanyika viwanja vya Jangwani juzi.

Naibu Mkurugenzi wa Uchaguzi, akiweka fedha kwenye kapu loa fedhaa hizo. Kushoto ni Mwenyekiti wake, Profesa Ibrahim Lipumba.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi Bara, Julius Mtatiro (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Machano Khamis Ally (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, Profesa Lipumba, wakiuzindua mfuko huo kwa ajli ya kukiendeleza chama hicho.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), kushoto, akishikana mkono na Maharagande wakati wa uchangiaji  wa chama hicho, viwanja vya Jangwani juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba (kushoto), akipokea fedha kutoka kwa kwa akinababa kwa ajili ya kukletea maendeleo  kono na Maharagande wakati wa uchangiaji wa chama hicho, viwanja vya Jangwani juzi.

Mwenyekiti wa Wilaya ya Ilala, Saidi Ricco, akikichangia Chama hicho kwenye uzinduzi huo juzi.


Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba (kushoto), akiwapa mikono ya shukuran wananchi waliokuwa wakikichangia Chama hicho juzi, kwa ajili ya kukiletea maendeleo, wakati wa uchangiaji wa chama hicho, viwanja vya Jangwani juzi.

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Lipumba (kushoto), akipokea fedha kutoka kwa baadhi ya wanachama wa chama hicho, kwa ajili ya kufanikisha kampeni ya kukieneza mikoani kote.

Baadhi ya wanachama na mashabiki wa Chama hicho wakiwa kwenye foleni ya kukichangia chama hicho fedha za kuweza kujiendesha.
 
Baadhi ya wanachama na mashabiki wa Chama hicho wakiwa kwenye foleni ya kukichangia chama hicho fedha za kuweza kujiendesha.

Baadhi ya wanachama na mashabiki wa Chama hicho wakiwa kwenye foleni, wakisubiri zamu yao ya kukichangia chama hicho fedha za kuweza kujiendesha.


Msanii wa Jagur Mduwara, akiimba kwa ajili ya kuhamasisha wanachama na mashabiki wake kuweza kukichngia chama hicho, viwanja vya Jangwani juzi.
 
Hapa ni muziki tu kwa kwenda mbele, changia pesa chama kiweze kusonga mbele, inaelekea ndivyo alivyokuwa akisema mss
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Lipumba, akiwapongeza wanachama na mashabiki wa chama hicho kwa kuitikia wito wa kukichangia chama.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Tanzania Bara, Julius Mtatiro, akizungumza wakati wa uchangiaji huo juzi, viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Taifa, Machano Khamis Ally, akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu Bara, Julius Mtatiro wakati wa mkutano huo juzi.

Baadhi ya wanachama wa Chama hicho, wakiwa kwenye foleni ya kwenda kukichangia chama hicho juzi.

Baadhi ya wanachama na mashabiki wa Chama hicho, wakinyanyua juu mikono ili kumuunga mkono Mwenyekiti wao, Profesa Lipumba wakati alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano huo juzi.

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Lipumba, akiwahutubia wanachama na Mashabiki wa Chama hicho wakati wa uzinduzi wa michango ya kukiwezesha chama hicho juzi, viwanja vya Jangwani jijini juzi.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha CUF Taifa, Julius Mtatiro (kulia), akiteta jambo na Mwenyekiti wake Profesa Lipumba, mara baada ya kuwahutubia wanachama, wapenzi na mashabiki wa  Chama hicho, viwanja vya Jangwani juzi, wakijianda kwa maandamano ya kukichangia chama hicho wakati wa uzinduzi wa michango ya kukiwezesha chama, viwanja vya Jangwani jijini juzi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment