Mbunge Shy-Rose Bhanji, ambaye pia ni Mwanaharakati wa masuala ya kijamii (katikati), akitoa wito kwa wadau mbalimbali kujitolea michango ya hali na mali kufanikisha ujenzi wa Shule ya watoto yatima ya Green City, ambayo hivi sasa ujenzi wake umeshafikia kwenye hatua ya msingi kwa madarasa manne pamoja na Ofisi za Walimu.
Mratibu wa mpango wa ujenzi wa Shule ya Green City, Timothy Levy (kushoto), akimkabidhi cheti cha shukrani Mbunge Shy-Rose Bhanji, kwa kuunga mkono jitihada za kufanikisha ujenzi wa shule hiyo ya watoto yatima. (Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:
Post a Comment