TANGAZO


Friday, September 14, 2012

Tanzania, Uholanzi zasaini msaada wa sh. bil. 33 za kusambaza umeme vijijini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijjah (kushoto), akizungumza kuhusu mpango wa kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini. 
(Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO - Dar es Salaam)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah(kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dk. Ad Koekkoek (kulia) wakisaini makubaliano ya msaada kutoka Uholonzi wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda jana jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) leo, jijini Dar es Salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza  umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) jijini Dar es Salaam leo wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza  umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


Balozi wa Uholanzi nchini Dk. Ad Koekkoek (kulia) akitoa ufafanuzi juu ya msaada waliotoa wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha Ramadhan Khijjah (kushoto)  wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto), akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo, jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizi sherehe fupi za kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambzaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto), akimsindikiza Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo, jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizi kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo, jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizi sherehe fupi za kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo, jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizi sherehe fupi za kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana mawazo na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo jijini Dar es salaam mara baada ya kumalizi sherehe fupi za kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akiagana na Balozi wa Uholanzi Dk. Ad Koekkoek (kulia) leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kumalizi sherehe fupi za kusaini mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusaidia usambazaji wa umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.

No comments:

Post a Comment