Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mkongoro Mahanga akimkabidhi Ngao ya Hisani nahodha wa Simba, Juma Kaseja baada ya kuifunga Azam FC 3-2 katika mchezo wa fainali uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
| Ngao ya Hisani |
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-2. Mapato ya mchezo huo yataelekezwa katika shughuli za kijamii Hospitali ya Temeke.
| Ridondo wa Simba (aliyedondoka) akipambana na Abdulhalim Humud wa Azam FC katika mchezo huo. |
Mashabiki wa Simba wakiwa wamejazana kuangalia mchezo huo.
Golikipa wa Azam FC, Munisi, akidaka mpira uliopigwa na Diniel Akkufor wa Simba.

No comments:
Post a Comment