TANGAZO


Saturday, September 15, 2012

Simba yairarua African Lyon mabao 3-0, Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa

Amir Maftaha wa Simba, akipiga mpira mbele ya mchezaji wa Jacob Massawe wa African Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dare s Salaam leo. Simba ilishinda mabo 3-0. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Emmanuel Okwi wa Simba akimtoka Johanes Kajuna wa African Lyon katika mchezo huo.

Obina Salamusasa wa African Lyon, akimtoka Daniel Akuffor wa Simba.

 Daniel Akuffor wa Simba, akimuhadaa Obina Salamusasa wa African Lyon katika mchezo huo.

Mchezaji Emmanuel Okwi akipiga mpira mbele ya Obina Salamusasa wa African Lyon.


Yussuf Mlipili, akimtoka Emmanuel Okwi wa Simba. 

No comments:

Post a Comment