TANGAZO


Saturday, September 15, 2012

Waziri Profesa Muhongo azindua bodi ya TPDC

Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini na wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya TPDC, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda (katikati), wa uzinduzi wa bodi hiyo, Hoteli ya Kempisky Hyatt, Dar es Salaam leo.
 
Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wageni waalikwa, wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya TPDC, Hoteli ya Hyatt, Dar es Salaam leo, wakisikiliza maelezo binafsi yaliyokuwa yakitolewa na wajumbe wa bodi hiyo, wakati walipokuwa wakijieleza mbele ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jijini leo.
 
Mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo, Mwalimu Mwalimu kutoka Zanzibar, akijieleza mbele ya Waziri Muhongo, Maofisa wa Wizara, TPDC pamoja na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo, jijini  leo.

Mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo, Dk. D. Mmari, akijieleza mbele ya Waziri Muhongo, Maofisa wa Wizara, TPDC pamoja na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo, jijini leo.

Baadhi ya Maofisa wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wageni waalikwa, wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Bodi ya TPDC, Hoteli ya Hyatt, Dar es Salaam leo, wakisikiliza maelezo binafsi yaliyokuwa yakitolewa na wajumbe wa bodi hiyo, wakati walipokuwa wakijieleza mbele ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo jijini leo.

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wakisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na wajumbe wenzao, mbele ya Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wageni waalikwa, wakati wa uzinduzi wa Bodi ya TPDC, Hoteli ya Hyatt, Dar es Salaam leo.

Mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo,Profesa Sufiani Bukurura, akijieleza mbele ya Waziri Muhongo, Maofisa wa Wizara, TPDC pamoja na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo, jijini leo.

Mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo, Mameltha Mutagwaba, ambaye pia ni Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Fedha Profesa, akijieleza mbele ya Waziri Muhongo, Maofisa wa Wizara, TPDC pamoja na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo, jijini leo.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Michael Mwanda, akijieleza mbele ya Waziri Muhongo (kushoto), Maofisa wa Wizara, TPDC pamoja na wageni mbalimbali waalikwa katika hafla hiyo, jijini leo.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akizungumza na wajumbe wa Bodi ya TPDC, wakati alipokuwa akiizindua Hoteli ya Hyatt, Kempisky, Dar es Salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakimu Maswi na Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Yona Killagane.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akizungumza na wajumbe wa Bodi ya TPDC, wakati alipokuwa akiizindua Hoteli ya Hyatt, Kempisky, Dar es Salaam leo.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akizungumza na wajumbe wa Bodi ya TPDC, wakati alipokuwa akiizindua Hoteli ya Hyatt, Kempisky, Dar es Salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakimu Maswi na Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Yona Killagane.

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Yona Killagane, akitoa ufafanuzi kwa Waziri Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, jijini leo.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Michael Mwanda, akitoa neno la shukurani baada ya Waziri, Profesa Sospeter Muhongo (kulia), kuizindua bodi hiyo ya TPDC, Dar es Salaam leo. Wa kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakimu Maswi na watatu ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Yona Killagane.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Michael Mwanda, akitoa neno la shukurani baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kuizindua bodi hiyo ya TPDC, Dar es Salaam leo.


Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimkabidhi begi la makabrasha ya vitendeakazi, Mwenyekiti wa Bodi TPDC, Michael Mwanda, ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa bodi hiyo, katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Hyatt, Kempiski, Dar es Salaam leo.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Mkuu wa EWURA, Harun Masebu, mara baada ya kuizindua Bodi ya TPDC, Hoteli ya Hyatt, Kempisky, Dar es Salaam leo.

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa tatu kushoto), akipiga picha ya kumbukumbu na wajumbe wa bodi ya TPDC, mara baada ya kuizindua Hoteli ya Hyatt, Kempiski, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment