Wachezaji Nasor Masoud 'Cholo' wa Simba (kushoto) na Mau Bofu wa Ruvu Shooting, wakakimbilia mpira wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salam leo jioni. Simba ilishinda mabao 2-1.
Shabiki wa Simba akishangilia kwa kuonesha mkono, ili kuwadhihaki watani wao Yanga baada timu hiyo, kupata bao la pili.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili la timu hiyo.
Nassor Masoud 'Cholo' wa Simba akitafuta mbinu ya kumtoka Mau Bofu wa Ruvu Shooting, wakati wa mchezo huo.
Amir Maftah wa Simba akimtoka Michael Pius wa Rovu Shooting.
Mashabiki wa Simba wakishangilia kwa kuonesha mkono watani wao Yanga baada timu hiyo, kupata bao la pili.
Mchezaji George Michael wa Ruvu Shooting, akiwania mpira na Daniel Akuffor wa Simba wakati wa mchezo huo.
Mchezaji Michael Pius wa Ruvu Shooting, akiutoa mpira wavuni baada ya Simba kufunga bao la pili na la ushindi katika mchezo huo.









No comments:
Post a Comment