TANGAZO


Sunday, September 23, 2012

Wasanii Matonya, Mr. Nice, Z-Anto watamba Dar Live, Mbagala Zakhem

Mkali wa Bongo Fleva, Seif Shabani ‘Matonya’ akipagawisha katika Usiku wa Fleva za Dhahabu ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
 
Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ akifanya makamuzi katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
 

Ally Mohamed ‘Z-Anto’ akiwarusha mashabiki waliohudhuria ndani ya Dar Live.
 

Msanii wa muziki wa Tarab, Bi. Mwanahawa Ally wa East African Melody, akitumbuiza katika Usiku wa Fleva za Dhahabu uliofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
 
Kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab, likiwapagawisha mashabiki.
 
Kundi la ngoma za asili la Nokalandima likionyesha makali yake.
 

Mwanasarakasi Lwiti Nzoa akionesha ufundi wake katika mambo ya sarakasi.
 
 Lwiti Nzoa, akizidi kuonyesha mbwembwe zake.
 

Matonya akiimba Wimbo wa Vaileth uliompagawisha shabiki wake.
 

Msanii Luca Mkenda 'Mr Nice', akizidi kuwapa raha mashabiki.
 

Msanii Z- Anto na kundi lake wakifanya mambo.
 
Msanii Zahir Hamis wa kundi la New Zanzibar Stars Modern Taarab, akiwarusha roho mashabiki wa kundi hilo katika onesho hilo.
 
Msanii wa Kundi la Ngoma za Asili la Nokalandima akipagawisha.
 

No comments:

Post a Comment