Mwili wa marehemu Daudi Mwangosi, ukiwa unaandaliwa kwa ajili ya waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili huo leo.Waziri Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, akitoa Heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Daudi Mwangosi.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanachama wa Chadema nao wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Mwangosi.
Mke wa marehemu Daudi Mwangosi, akitoa heshia zake za mwisho kwa mwili wa mumewe.
Maelfu ya waombolezaji wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili huo.
Jikoni mambo ya mapishi yakiendelea kama kawaida ili waombolezaji kuweza kujipatia chochote kabla ya kwenda makaburini kwa mazishi.
Mama mzazi wa marehemu Daudi Mwangosi, akiwa analia kwa uchungu, huku akisaidiwa na waombolezaji.
Wawakilishi mbalimbali, wakitoa salam za pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu Mwangosi leo.
Mwakilishi wa televisheni ya Chanel Ten, Hamis akitoa pole katika msiba huo kabla ya mazishi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wameshikwa huzuni kubwa kwa kumpoteza ndugu yao huyo.
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club, akitoa pole za klabu hiyo na zake binafsi kwa wafiwa. Mwanaharakati Francis Godwin, akielezea leo, jinsi mauti yalivyomkuta mwandishi wa habari Daudi Mwangosi juzi.
Baadhi ya viongozi wa vyama na taasisi mbalimbali wakiwa pamoja na waombolezaji na wafiwa kwenye msiba huo.
Rais wa UTPC, Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa kuleta mwili wa marehemu Daudi Mwangosi, akitoa salam za pole kwa wafiwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akitoa pole kwa wafiwa.
Akina mama wakiwa katika majonzi makubwa na huzuni kwenye msiba huo.
Mwili wa marehemu Daudi Mwangosi, ukiwa unaandaliwa kwa ajili ya waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili huo leo.
Waziri Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya, akitoa Heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Daudi Mwangosi.
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya wanachama wa Chadema nao wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Mwangosi.
Mke wa marehemu Daudi Mwangosi, akitoa heshia zake za mwisho kwa mwili wa mumewe.
Maelfu ya waombolezaji wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili huo.
Jikoni mambo ya mapishi yakiendelea kama kawaida ili waombolezaji kuweza kujipatia chochote kabla ya kwenda makaburini kwa mazishi.
Mama mzazi wa marehemu Daudi Mwangosi, akiwa analia kwa uchungu, huku akisaidiwa na waombolezaji.
Wawakilishi mbalimbali, wakitoa salam za pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu Mwangosi leo.
Mwakilishi wa televisheni ya Chanel Ten, Hamis akitoa pole katika msiba huo kabla ya mazishi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wameshikwa huzuni kubwa kwa kumpoteza ndugu yao huyo.
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club, akitoa pole za klabu hiyo na zake binafsi kwa wafiwa.
Mwanaharakati Francis Godwin, akielezea leo, jinsi mauti yalivyomkuta mwandishi wa habari Daudi Mwangosi juzi.
Baadhi ya viongozi wa vyama na taasisi mbalimbali wakiwa pamoja na waombolezaji na wafiwa kwenye msiba huo.
Rais wa UTPC, Kenny Simbaya ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa kuleta mwili wa marehemu Daudi Mwangosi, akitoa salam za pole kwa wafiwa.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa, akitoa pole kwa wafiwa.
Akina mama wakiwa katika majonzi makubwa na huzuni kwenye msiba huo.

No comments:
Post a Comment