TANGAZO


Sunday, September 9, 2012

Redd's Miss Ilala atoa msaada kwa yatima wa kituo cha Maunga, Hananasif Kinondoni

Baadhi ya vyakula, mafuta, maji ya kunywa, sabuni na vitu vingine vilivyotolewa msaada na Redd's Miss Ilala, Noella Michael kwa kituo cha yatima cha Maunga, Hananasif Kinondoni Dar es Salaam leo.

Mratibu wa Redd's Miss Ilala, Juma Mabakila kutoka Machozi Band Entertainment, akibeba moja ya boksi la juisi kwa ajili ya kukabidhi kwa yatima wa kituo hicho.

Mratibu wa Redd's Miss Ilala, Juma Mabakila kutoka Machozi Band Entertainment, akizungumza na uongozi wa kituo hicho wakati Mrembo huyo wa Ilala, alipokwenda kukabidhi vyakula na vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya yatima hao. Pia Redd's Miss Ilala, Noella Michael alikabidhi fedha taslim sh. 900,000 kwa ungozi kwa ajili ya kuwalipa wafanyakazi mishahara na kulipa bili ya mboga ya yatima hao kwa muda wa miezi miwili.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akikabidhi fedha taslim sh. 500,000 kwa uongozi wa kituo cha Maunga kwa ajili ya kulipia bili ya mboga ya miezi miwili ya kituo hicho.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael (wa nne kulia), akiombea dua na yatima wa kituo hicho pamoja na viongozi aliofuatana nao kwenye kituo hicho leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akimkabidhi mmoja wa yatima wa kituo hicho, unga wa ngano kwa ajili ya matumizi yao, kituoni hapo leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akimkabidhi mmoja wa yatima wa kituo hicho, mfuko wa sukari kwa ajili ya matumizi yao, kituoni hapo leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akimkabidhi mmoja wa yatima wa kituo hicho, ndoo ya mafuta ya kula kwa ajili ya matumizi yao, kituoni hapo leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akimkabidhi mmoja wa yatima wa kituo hicho, mfuko wa maharage kwa ajili ya matumizi yao, kituoni hapo leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akimkabidhi mmoja wa yatima wa kituo hicho, gunia la viazi kwa ajili ya matumizi yao, kituoni hapo leo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akiwagawiya paketi za juisi yatima wa kituo hicho, wakati alipofika hapo kutoa misaada mbalimbali leo mchana.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akipiga picha ya kumbukumbu na yatima wa kituo hicho cha Maunga, Hananasif, Kinondoni, Dar es Salaam leo mchana.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akipiga picha ya kumbukumbu na yatima wa kituo hicho, uongozi wa kituo cha Maunga na mwakilishi wa Belinda Group and Apartment, Peter Lazarus (kushoto nyuma), kituoni hapo leo mchana.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akipiga picha ya kumbukumbu na yatima wa kituo hicho, baadhi ya viongozi wa kituo cha Maunga, mwakilishi wa Belinda Group and Apartment, Peter Lazarus (kushoto nyuma) na Mratibu wa Redd's Miss Ilala, Juma Mabakila (nyuma kulia) kutoka Machozi Band and Entertainmet, wafadhili wakuu wa kituo hicho.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akipiga picha ya kumbukumbu na yatima wa kituo hicho, mara baada ya kuwakabidhi misaada mbalimbali leo mchana.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael (kushoto), mama mlezi wa yatima hao pamoja na baadhi ya yatima wakitembelea na kukagua baadhi ya vyumba wanamolala ili kuangalia mahitaji muhimu kwenye vyumba hivyo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael akiwa amembeba mmoja wa yatima hao, Aisha mara baada ya kuwakabidhi vyakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya matumizi yao leo mchana.


Redd's Miss Ilala, Noella Michael (nyuma), akiwa pamoja na mwakilishi wa Belinda Group and Apartment, Peter Lazarus (kushoto) na mratibu wake, Juma Mabakila (katikati nyuma) kutoka Machozi Band, walioandaa shindano la kumpata mrembo huyo.

Redd's Miss Ilala, Noella Michael (kulia), akiagana na uongozi wa kituo cha yatima cha Maunga, mara baada ya kukabidhi vyakula, fedha taslim sh. 900,000 na vifaa mbalimbali kwa kituo hicho kwa ajili ya matumizi yao, leo mchana. (Picha zote kwa hisani ya Redd's Miss Ilala)


No comments:

Post a Comment