Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts, wanaotoa magazeti ya Jambo Leo, Jambo Brand, Jambo Jumapili, Juma Pinto (kulia), wakifuarahi jambo na Peter Ambilikile na Mkewe.
Mmoja wa wasanii wa kundi la Banana band, Bananana wakitumbuiza kwenye tamasha hilo.
Msanii, Steve Nyerere, aliyekuywa MC wa hfla hiyo, akitangaza kwenye jukwaa lililoandaliw kwa ajili ya mchuano wa warembo wa Redd's Miss Ilala.
Mwandishi mwandamizi wa habari za michezo na burudani wa Gazeti la Jambo Leo, Asha Kigundula akiwa amekaa na mume wake, Majid Mohamed, wakifuatilia shindano hilo.
Warembo hawa nao, hawakuwa nyuma katika kuangaza angaza na kufuatilia shindano hilo.
Warembo wa kinyang'anyiro cha Miss Redd's Ilala 2-12, wakicheza ngoma za shoo kabla ya kupita mbele za watu, kushindana katika nyanja mbalimbali za kitamaduni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Amina Sangwe akipita na vazi la kubuni wakati wa kinyang'anyiro hicho, ukumbini humo.
![]() |
| Mrembo Magdalena Munisi akipita na gauni la kubuni |
Mrembo Noela Michael, akipita kwa madaha na vazi la kubuni kwenye shindano hilo.
Mshiriki Stella Morris akipita na vazi la kubuni wakati wa kinyang'anyiro hicho, ukumbini hapo.
Mrembo Magdalena Munisi akipita na vazi la ufukweni wakati wa kinyang'anyiro hicho.
Warembo Noela Michael (kushoto) na Elizabeth Pertty wakipita na vazi la ufukweni kwenye kinyng'anyiro hicho.
Warembo Witness Michael (kushoto) na Wilmina Mvungi wakipita na nguo za ufukweni.
Mrembo Mary Chizi akipita na vazi la ufukweni
Mrembo Magdalena Munisi akipita akiwa na vazi la kutembelea.
Mmoja wa wasanii waliokuwa wakiburudisha na kunogesha miondoko \ hiyo.
Warembo walioingia katika tano bora wakiwa wameitwa kwa ajili ya kuingia katika kinyng'anyiro cha kipengele cha kujibu maswali.
![]() |
| Miss Ilala 2012, Salha Isarael (kushoto), akiwa pamoja na Redd's Miss Ilala 2012, wakipunga mkono kwa mashabiki wakati alipomvalisha taji hilo usiku wa kuamkia leo. |
Redd's Miss Ilala 2012, Noela Michael (katikati), akiwa na mshindi wa pili Magdalena Munisi (kushoto) na watatu, Mary Chizi, mara baada ya kutangazwa washindi wa shindano hilo, usiku wa kuamkia leo, ukumbi wa Nyumbani Lounge, Namanga jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi wa shindano la kumsaka Redd's Miss Ilala, Meya wa Ilala, Jerry Slaa akimpongeza Noela Michael baada ya kuibuka na kushinda taji hilo, lililokuwa likiwaniwa na warembo 14, ukumbi wa Nyumbani Lounge, Namanga Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.
![]() |
| Redd's Miss Ilala 2012, Noela Michael akipozi kwa picha na ndugu zake, waliokuwepo ukumbini hapo usiku wa kuamkia leo. |
























No comments:
Post a Comment