TANGAZO


Sunday, September 9, 2012

Hafla ya ufunguzi wa Bunge la Tatu la Jumuiya ya A. Mashariki pichani

 Rais wa Kenya, Mwai Kibaki katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margaret Zziwa (wa pili kushoto) na Wabunge wa Afrika Mashariki mara baada ya kufungua na kuhutubia Bunge hilo, lililoanza wiki iliyopita jijini Nairobi, Kenya.

Rais Mwaki Kibaki akisalimiana na Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Shy-Rose Bhanji.
 Mbunge mwengine kutoka Tanzania, Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki wa Kenya.
  Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika kikao chao hicho wiki iliyopita.
 Sehemu ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais Kibaki.
         Maafisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya pamoja na Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi.

No comments:

Post a Comment