Waziri Mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye akitoa hotuba wakati wa muhadhara wa kujadili changamoto za umasikini, katika mdahalo ulioandaliwa na Chuo Kikuu Huria Tanzania, ulliofanyika ukumbi wa mikutano wa chuo hicho, jiji Dar es salaam leo. Muhadhara umeenda sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya chuo hicho.Baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wakiwa katika muhadhara huo wa kujadil changamoto za umasikini nchini.
Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Tolly Mbwete, akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa muhadhara huo. (Picha zote na Philemon Solomon)
No comments:
Post a Comment