Monday, September 10, 2012
Mtawala wa Simba apata jiko, amuoa Anna, viongozi Simba nao wahudhuria sherehe hizo
Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Milovan Cirkovic (kushoto) na Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga (kulia), baada ya kufunga pingu za maisha na Anna Mtawala (wapili kulia) wakati wa sherehe za harusi zilizofanyika Ukumbi wa Hoteli ya JB Belmont, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Asha Kigundula)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment