Mkurugenzi wa Maelezo, Assah Mwambene, azungumza na Balozi msaidizi wa Heshima wa Mexico nchini
Msaidizi wa Heshima wa Balozi wa Mexico Nchini Tanzania, Mohammed Reza Saboor (kushoto), akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene wakati wa mazungumzo yao, Ofisi ya Mkurugenzi huyo, jijini Dar es Salaam leo, Septemba 13, 2012. (Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Mkurugenzi mpya wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene (kulia), akiongea na Msaidizi wa Heshima wa Balozi wa Mexico nchini, alipokwenda kujitambulisha ofisini kwa Mkurugenzi huyo (13, Sept,2012), ambapo walizungumza mambo mbalimbali na jinsi ya kusaidiana katika nyanja ya habari.
Picha ya pamoja ya viongozi hao wawili, wakati wakiagana leo.
Hapa wakifurahia jambo mara baada ya mazungumzo yao jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment