Bondia Emmanuel Mogela wa Mkoa wa kimichezo wa Ilala, akiwa chini baada ya kupigwa konde na bondia, Said Hofu wa JKT katika mashindano ya Ubingwa wa Taifa 2012 kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam leo. Said Hofu alishinda kwa RSCO.
| Mabondia wakitwangana katika kuwania ubingwa wa Taifa, Uwanja wa Ndani wa Taifa leo. |
| Mabondia wakiwa katika mashindano hayo leo. |
Kocha wa timu ya Ngumi ya mkoa wa kimichezo Ilala, Rajabu Mhamila akimuandaa mchezaji wake, Eammanuel Mogela kabla ya kupanda ulingoni na kupata kichapo kutoka kwa mpinzani wake, Said Hofu wa JKT.

No comments:
Post a Comment