TANGAZO


Tuesday, September 18, 2012

Kamati ya Miss Tanzania yatembelea mazoezi ya Redd's Miss Temeke

Washiriki wa Redd's Miss Temeke, watakaochuana Septemba 21, ukumbi wa PTA, Viwanja vya Maonesho ya Biashara vya Kimataifa vya Dar es Salaam, wakiwa katika pozi mbalimbali kwenye mazoezi yao jana, Klabu ya Sigara Chang'ombe, jijini Dar es Salaam




Mrembo Edna Sylvester (21)


Catherine Masumbigana (21)  

Jesca Haule (18)


Lilian Joseph (20)


Neema Doreen (20)


Zulfa Bundala (21)


Esther Albert (19)


Agness Goodluck (20)


Flaviana Maeda (22)



Elizabeth Peter (21)



Miriam Ntakisivya (21)



Miss Temeke namba 2 wa mwaka 2010, Cynthia Kimasha, akiwapa uzoefu washiriki wa Miss Temeke 2012



Elizabeth Bonigace (19) 



Mwalimu wao, Leilla Bhanji



Angel Gasper (19)
Warembo wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania


Kutoka kulia Yasson Mashaka, Mjumbe Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye, Mkuu wa Itifaki na Hashim Lundenga, Mkurugenzi. Aneyefuatia ni Benny Kisaka, Mkurugenzi BMP na Hiddan Ricco, Ofisa Uhusiano wa Kamati ya Miss Tanzania


Kutoka kulia Cynthia Kimasha, Leilla Bhanji, Mwajabu Juma, Miss Temeke namba 3 mwaka jana na Joyce Maweda, Miss Chang'ombe namba 3 mwaka jana.


Wadau, kutoka kulia Mkama na Fred Ogot


Washiriki Miss Temeke 2012,wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania


Washiriki wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania
Warembo wakicheza shoo


Warembo wakicheza shoo


No comments:

Post a Comment