TANGAZO


Wednesday, September 12, 2012

Mama Asha Bilal afungua semina ya elekezi ya Chama cha Sherehe Arts Association (SAA) jijini Dar es Salaam


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa semina elekezi ya siku moja, iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo ilifanyika juzi, Septemba 10, 2012. 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011|2012, wakati wa ufunguzi wa semina elekezi  ya siku moja, iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam.  
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi  Tuzo na zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011\2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi  ya siku moja, iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya kijamii. Semina hiyo, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam. 
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa  Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), baada ya kuifungua Semina yao, elekezi  ya siku moja iliyoandaliwa na chama hicho, kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya kijamii, jijini Dar es Salaam juzi.  
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa  Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada ya ufunguzi wa Semina elekezi  ya siku moja iliyoandaliwa na chama hicho kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi Septemba 10, 2012. Jijini Dar es Salaam.  (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment