TANGAZO


Saturday, August 18, 2012

Zola D, Mchumiatumbo wapima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa uzito wa juu

Bondia David Michael Mlope 'Zola D – King', akitunishiana misuli na Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo', wakati wa kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa uzito wa juu, utakaofanyika siku ya Idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)

Bondia David Michael Mlope 'Zola D – King' akipima uzito leo kwa ajili ya mpambano wa Idi pili utakaofanyika katika uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib (katikati), akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope 'Zola D – King' (kushoto) na Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo'
Bondia Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo', akipima  uzito leo kwa ajili  ya  mpambano wakena David Michael wake na David Michael Mlope 'Zola D – King'.
Bondia Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo', akipima uzito.
MTANGAZAJI WA KITUO CHA ITV AMIR MASARE AKIMUOJI BONDIA David Michael Mlope 'Zola D – King'

Bondia David Michael Mlope, Zola D – King',  Alpjonce Joseph 'Mchumiatumbo'
-- 

No comments:

Post a Comment