TANGAZO


Saturday, August 18, 2012

Msama Promosions yakamata wezi wa kazi za wasanii mjini Dodoma

 Askari wa kituo kikuu cha Polisi mjini Dodoma, akisaidia kuziweka pamoja moja ya Compyuta zenye kudurufu kazi za wasanii kwa njia haramu, wakati wa msako wa kukamata wezi wa kazi za wasani ulioendeshwa na Kampuni ya Msama Promotion mjini humo leo. Wanaoonekana pichani ni baadhi ya watuhumiwa waliokamatwa na kufikishwa kituoni hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama, akiwa ameibeba moja ya kompyuta zinazotumiwa na wezi wa kazi za wasaii kwa ajili ya kurudufu kazi hizo.

No comments:

Post a Comment