Hapa alikuwa akiimba ndani ya boti, wakati wa kutengeneza moja ya nyimbo zake nchini humo.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa.
Akiwa pamoja na mpiga picha wake wa video. Hapa ni Full Ki Dutch tu.
Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting yake.
Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa.
Hapa akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani. Kwa Taarifa zake zaidi Tembelea Website yake hapa http://www.god-love.de/.
No comments:
Post a Comment