TANGAZO


Tuesday, August 21, 2012

Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga azindua Airtel Risinga Stars jijini Nairobi

 Mkurugenzi wa Masoko wa Arsenal, Angus Kinnear (wa tatu kulia), akimkabidhi jezi Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars jijini Nairobi jana. Michuano hiyo ambayo inashirikisha wavulana na wasichana chini ya umri wa miaka kumi na saba itamalizika Agosti 25. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko kutoka Manchester United, Jonathan Rigby. (Na Mpiga Picha Wetu).

Mkurungenziwa Masoko wa Manchester United, Jonathan Rigby (kushoto), akimkabidhi jezi Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars jijini Nairobi jana.

No comments:

Post a Comment