TANGAZO


Tuesday, August 21, 2012

Viongozi wa CHADEMA wala Sikukuu ya Idi na wakazi wa Morogoro

 Viongozi wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), na wakiongozwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe (wa nne kushoto), wakishiriki katika chakula kilichoandaliwa na wenyeji wao, mjini Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Sikukuu ya Idd el Fitr, baada ya kusitisha kampeni za Operesheni Sangara katika Mkoa wa Morogoro jana, ili kuungana na waislamu kote nchini kusherehekea sikukuu hiyo. Kutoka kushoto ni mwanachma wa chama hicho, Arcado Ntagazwa, Katibu Mkuu Willibrod Slaa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed. (Picha zote na Joseph Senga).
Viongozi wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe (wa nne kushoto), wakila chakula kilichoandaliwa na wenyeji wao, mjini Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Sikukuu ya Idd el Fitr.
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakichukua chakula kilichoandaliwa na wenyeji wao wa mkoa wa Morogoro, ikiwa ni sehemu ya kuuadhimisha Sikuu ya Idd el Fitr, baada ya kusitisha Opereshini Sangara jana ili kuungana na Waislamuu nchini kote kuadhimisha sikukuu hiyo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti, FreemanMbowe, Katibu Mkuu, Dk. Willibrod Slaa, mwanachama Arcado Ntagazwa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed na Mwenyekiti wa Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk.

No comments:

Post a Comment