Waziri Mkuu Pinda katika matukio mbalimbali kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana Agust 10,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani kutoka Jimbo la Njombe Kaskazini, ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma jana, Agust 10, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Madiwani wanawake kutoka Jimbo la Njombe Kaskazini, Bungeni Mjini Dodoma jana, Agust 10, 2012. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo hilo, Deo Sanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment