TANGAZO


Saturday, August 11, 2012

Msama azidi kunasa mitambo inayotumika kurudufu kazi za wasanii nchini

 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh. milioni 11 walizozikamata katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam leo, wakati wa operesheni ya kuwakamata wezi wa kazi za wasanii, inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki zenye thamani ya sh. milioni 11 walizozikamata katika eneo la Mbagala, jijini Dar es Salaam leo.
 Msama akionyesha mashine zinazotumika katika kurudufu kazi za wasanii.
Msama akionyesha moja ya kompyuta zinazotumika kwa kazi ya kurudufu kazi za wasanii.

No comments:

Post a Comment