Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Alhaji Said El-Maamry, akiongea leo (Jumanne, Agosti 7, 2012) katika mkutano wa Tume, unaolenga kufanya tathmini ya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo unafanyika Ofisi za Tume jijini Dar es salaam.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salim Ahmed Salim akizungumza wakati wa mkutano huo leo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole, akizungumza katika mkutano huo leo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Rishard Lyimo akiongea katika mkutano huo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Awadh Ali Said, akiongea kwenye mkutano huo leo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Ally Saleh akiongea leo, Jumanne, Agosti 7, 2012 katika mkutano wa Tume unaolenga kufanya tathmini ya kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Mkutano huo unafanyika katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Raya Suleiman Hamad, akiongea kwenye mkutano huo leo. (Picha na mdau wetu)
No comments:
Post a Comment