TANGAZO


Tuesday, August 7, 2012

Matukio ya Wabunge Bungeni leo mjini Dodoma

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara maalum, Profesa Mark Mwandosya akitoka nje ya Bunge na kufanya mazungumzo na Mbunge Deo Filikunjombe (CCM), viwanja vya Bunge, mjini Dodoma leo. 

Mama Terry akiwa na mazungumzo na Mawaziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe (kushoto) na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati), Bungeni, mjini Dodoma leo. 

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na Mamiss waliopita, kushoto Faraja Kotta (Mrs Nyalandu) na Nancy Sumari baada ya kupata nafasi ya kulitembelea Bunge mjini Dodoma leo. 

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mariam Girls wakisikiliza kwa makini majadiliano ya Wabunge, walipopata nafasi ya kuingia Bungeni leo, mjini Dodoma. 

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, wakiripoti habari za Bunge, mjini Dodoma leo. 

Mbunge wa Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mara Ester Bulaya (watatu kushoto), akizungumza na Mamiss waliopita, wa kwanza kushoto ni Miss faraja Kota (Mrs Nyalandu), Nancy Sumari (wa pili) pamoja na wafanyakazi wa Bunge (kulia), nje ya viwanja vya Bunge, mjini Dodoma leo. (Picha zote na Anna Itenda - Maelezo)

No comments:

Post a Comment