TANGAZO

Monday, August 6, 2012

 Wagombea nafasi za UWT Taifa waanza kurudisha fomu

Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Halima Mohamed Mamuya  (kulia), akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni ya umoja huo, Makao Makuu, Riziki Kingwande Dar es Salaam leo.

Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa, Halima Mohamed Mamuya, akipozi kwa picha wakati aliporudisha fumo za kuomba kuteuliwa kwa nafasi ya Uenyekiti wa umoja huo, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment