Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa tano kutoka kulia), akimaliza kuswali pamoja na waumini wengine wa dini ya Kiislamu katika swala ya Magharibi, wakati wa hafla ya futari aliyowaandalia na kushiriki nao pamoja, Ikulu ndogo, mjini Dodoma jana Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais, Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mbunge wa Tabora, Juma Kapuya, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Rais, Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiagana na wageni mbalimbali, aliowaalika kwenye futari aliyoiandaa, Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya futari, aliyowaandalia, Ikulu ndogo, mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya futari, aliyoiandaa, Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kagasheki, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu wa Rais, Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria katika hafla ya futari, aliyowandalia Ikulu ndogo, mjini Dodoma jana.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu, mara baada ya hafla ya futari, aliyowandalia Ikulu ndogo, mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012.
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu, mara baada ya hafla ya futari, aliyowaandalia, Ikulu ndogo mjini Dodoma jana, Agosti 5, 2012. (Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR)
No comments:
Post a Comment