TANGAZO


Saturday, August 4, 2012

Tawi la Chama Cham Mapinduzi la DMV nchini Marekani lafuturisha


Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa na kadi za uanachama kwa wanachama wapya  wakati wa futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV nchini Marekani jana Ijumaa Augosti 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland nchini humo.

Mwenyekiti wa tawi la CCM DMV, Loveness Mamuya akipata picha na tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakati wa futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi hilo, jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Tikiti maji lililochongwa kwa longo ya Chama Cha Mapenduzi (CCM), wakati wa futari hiyo.

Baadhi ya wa Tanzania mbalimbali, waliohudhuria kwenye futari hiyo, iliyoandaliwa na tawi la CCM DMV, nchini Marekani wakijipatia futari hiyo jana.

Baadhi ya wa Tanzania waliovalia rangi za Chama cha CCM, wakiwa kwenye futari ya pamoja iliyoandaliwa na tawi la CCM DMV, jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Watanzania  waliojumuika  kwenye futari ya pamoja ilioandaliwa na tawi la CCM DMV, jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliopo Silver Spring, Maryland Nchini Marekani, wakijipatia futari hiyo.

Mwenyekiti wa tawi la CCM la DMV, Loveness Mamuya, akiwakaribisha rasmi  wageni walikwa mbalimbali kwenye futari ya pamoja, iliyoandaliwa na tawi la CCM la DMV, jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park iliyopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Baadhi ya wanachama wa  CCM Tawi la DMV wakipata picha ya pamoja baada ya futari waliyoiandaa.

Wanachama wa  CCM Tawi la DMV na baadhi ya wageni wawili kutoka Londan Uingereza wakipiga picha ya pamoja baada ya futari hiyo.

Wageni wawili majirani wapendanao kutoka jijini London pia walihudhuria katika futari hiyo, iliyoandaliwa na tawi la CCM la DMV, jana Ijumaa Aug 3, 2012 katika ukumbi wa Hillandale Park, iliyopo Silver Spring, Maryland nchini Marekani.

Katibu wa CCM tawi la DMV, Jacob Kinyemi (kushoto), akipata picha ya pamoja na  Halima baada ya kumkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa CCM, jana Ijumaa  na kuwa mwanachama rasmi wa CCM. (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)

No comments:

Post a Comment