TANGAZO


Saturday, August 4, 2012

Didier Kavumbagu asaini Jangwani, atambulishwa, akabidhiwa jezi namba 21

Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto) akimtambulisha mchezaji mpya, anayechezea nafasi ya ushambuliaji, aliyesajili kutoka timu ya Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu kwa waandishi wa habari, Makao Makuu ya klabu hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto), akiionesha jezi yenye namba 21, ambayo alimkabidhi mchezaji mpya aliyesajili kutoka Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu wakati wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari, Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto), akimkabidhi jezi hiyo, yenye namba 21, mchezaji huyo mpya, aliyesajili kutoka Atletico ya Burundi, Didier Kavumbagu, wakati wa kumtambulisha kwa waandishi wa habari, Makao Makuu ya klabu, jijini Dar es Salaam leo.
 Baadhi ya wachezaji wa Yanga, wakijifua katika shule ya Loyola, Mabibo jijini Dar es Salaam leo.
Kocha Mkuu wa Yanga, Tom Saintfiet akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi yao hayo leo. (Picha zote na Francis Dande wa Habari mseto)

No comments:

Post a Comment