TANGAZO


Saturday, August 4, 2012

Rais Kikwete afungua na kuhudhuria warsha ya mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha hiyo ya mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za Serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. 


Rais Jakaya Kikwete na viongozi wakuu wa Serikali pamoja na wawezeshaji kutoka Malaysia baada ya kufungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.


Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia, Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika  warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. 


Waziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia, Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika  warsha hiyo kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. 


Baadhi ya washiriki, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. 


Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete wakati alipokuwa akiifungua leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma. 


Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiifungua warsha hiyo, kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.


Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wakati akiifungua warsha hiyo, kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo, wakifuatilia na kumsikiliza Rais Jakaya  Kikwete wakati akifungua warsha hiyo, iliyohusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa Mawaziri, Makatibu wakuu na Wakuu wa taasisi za Serikali leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.

Baadhi ya Mawaziri, Makatibu wakuu, Wakuu wa taasisi za Serikali, wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, wakati akiifungua warsha yao kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo leo, Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St.Gaspar mjini Dodoma.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment