TANGAZO


Sunday, August 5, 2012

Simba, Jamhuri nguvu sawa, Kombe la Super 8, Chamazi

 Gorikipa wa Jamhuri ya Permba, Jaffari Said akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Super 8 kwenye uwanja wa Chamazi jijini Dar.
 Mashabiki wa soka wakifuatilia mchezo huo.
 Hassan Khatib akimiliki mpira
 Beki wa Simba, Hassan Khatib  akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally.
 Mshambuliaji wa timu ya Jamhuri ya Pemba, Mohamed Ally akimtoka beki wa Simba, Hassan Khatib wakati wa mchezo wa Super 8 uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Timu hizo zilifungana 1-1.
 Kocha wa Jamhuri ya Pemba akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo kumalizika.

No comments:

Post a Comment