TANGAZO


Sunday, August 5, 2012

Mkutano Mkuu wa Simba, Bwalo la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam


 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza katika mkutano Mkuu wa mwaka wa klabu ya Simba uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. TBL ni wadhamini wakuu wa klabu hiyo. Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘kaburu’, Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage na Mwenyekiti wa kamati ya Usajili, Hans Pop.
 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akizungumza katika mkutano Mkuu wa Mwaka.
 Baadhi ya wanachama wa simba wakiwa katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akichangisha fedha kutoka kwa wanachama wa klabu wakati wa Mkutano Mkuu wa Wanachama uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Jumla y ash. milioni 36 zilipatanika kwa ajili ya mtaji wa ujenzi wa Uwanja wa michezo huko Boko nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Milovan Cirkovic akizungumza mbele ya wanachama wa Simba.

No comments:

Post a Comment