Rais wa Zanzibar, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa kijiji cha Chokocho, Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba leo, akiwa katika ziara maalum kisiwani humo. (Picha zote na Othman Maulid)
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na wazee wa kijiji cha Chokocho, Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba leo, akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na watoto wa kijiji cha Chokocho, Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Pemba leo, akiwa katika ziara maalum kisiwani humo.
No comments:
Post a Comment