Mwanasiasa Mkongwe, visiwani Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, kuhusu masuala ya Muungano katika ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar leo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, waliohudhuria katika mkutano wa Mwanasisa Mkongwe, Hassan Nassor Moyo, wakati akizungumzia mambo ya Muungano katika ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani Zanzibar, wakisikiliza na kunukuu maongezi hayo leo.
Mwanasiasa Mkongwe visiwani Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari, kuhusiana na mambo ya Muungano katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani, mjini Zanzibar leo. Kushoto ni mwandishi wa habari mwandamizi, Enzi Talib Aboud na kulia ni mwandishi wa habari mwandamizi, Salim Said Salim.
Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, akionesha hati za makubaliano ya mambo ya Muungano mbele ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, waliohudhuria katika mkutano wake, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani, mjini Zanzibar leo.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria katika mkutano wa Mwanasisa Mkongwe wa Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, wakifuatilia mazungumzo kuhusu mambo ya Muungano, aliyokuwa akiyatoa mwanasiasa huyo, ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa, Bwawani mjini Zanzibar leo.
Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar, Hassan Nassor Moyo, akisisitiza jambo, wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, kuhusu masuala ya Muungano, ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa, Bwawani mjini Zanzibar leo.
Mwandishi wa habari wa Gazeti la Zanzibar leo, Mwantanga Ame, akimuuliza maswali Mwanasiasa Mkongwe wa Zanzibar Hassan Nassor Moyo, wakati alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Hoteli ya Rumaisa Bwawani, mjini Zanzibar leo, kuhusu mambo ya Muungano.
No comments:
Post a Comment