Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa Bakwata, wakati alipowasili katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo el Fitri, Agosti 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini wakiomba dua mara baada ya kusikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na waumini katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19, 2012.
Mama Salma Kikwete akipeana mkono wa Iddi na kinamama waliohudhuria Swala ya Iddi leo Agosti 19, 2012 katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment