Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa kwanza kushoto), Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto), wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Idi el Fitri, iliyofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto), Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa tatu kushoto), wakijumuika katika dua na waumini wengine wa dini ya Kiislamu mara baada ya swala ya Sikukuu ya Idi el Fitri, iliyofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, mara baada ya kumalizika kwa swala ya Idi na Baraza la Idi vilivyofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kumalizika kwa swala na Baraza la Idi leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment