TANGAZO


Tuesday, August 7, 2012

Mikutano ya Chama ya chama cha Mapinduzi Kusini Pemba


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdalla Juma akisalimiana na viongozi wa CCM, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume kisiwani Pemba hivi karibuni.

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdalla Juma akizungumza na viongozi wa CCM, Mkoa wa Kusini Pemba katika kuhamasisha shughuli  za uchaguzi pamoja na uimarishaji wa Chama hicho katika Mkoa huo hivi karibuni.

 Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa Mashina wakimasikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdalla Juma, alipokuwa akizungumza nao kuhusu suala la uchaguzi na uimarishaji wa Chama hicho, akiwa katika ziara maalum Mkoani humo.

 Baadhi ya viongozi wa CCM wa Mashina, wakimasikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Asha Abdalla Juma, alipokuwa akizungumza nao katika suala la uchaguzi na uimarishaji wa Chama akiwa katika ziara maalum mkoani humo. (Picha na mdau wetu)

No comments:

Post a Comment