Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimjulia hali bibi Antonia Mbagalla (85) wa kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wakati wa mapumziko ya mwisho wa wiki leo Jumapili.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Bibi Antonia Mbagalla (85) wa kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wakati alipokwenda kumjulia hali, akiwa kwenye mapumziko ya mwisho wa wiki leo Jumapili kijijini hapo. (Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment